Zari Mke Wa Diamond Adaiwa kuwa na mtoto Mwenye Umri wa miaka 28 sawa Na umri Wa Diamond Mtoto huyo anaitwa Zulekha
Zari Na Zulekha Ambaye anaedaiwa kuwa mtoto wa Zari,
Ni moja kati ya vitu vilivyotrend saana mtandaoni kwa siku ya leo, Watu wanadai kuwa kabla ya kuolewa na Ivan Msouth Africa Aliyekyuwa kabla hajawa na Diamond, Tayari zari alikuwa na mtoto aitwaye Zulekha.
Lakini kiuhalisia ukiangalia picha hiyo inayodaiwa ni ya mtoto wa Zari, Zulekha Inaonyesha jinsi gani wanafanana na kuonekana ni wamoja.
Lakini
kulingana taarifa zilizopo kutokana na utafiti mdogo uliofanyika kumeonekana kuna ushahidi kadha juu ya hii issue ambao ni huu:
Sasa hivi Zari ana miaka 36 na kama haijakosewa basi mtoto wanayesema ni wa Zari wanasema ana miaka 28!
Hiyo
Ina maanisha zari alizaa akiwa na miaka 8
Actually this is not true..
Nothing else...
hahaha Nini maoni yako juu ya hili....
Enjoy Your Day....
#Zulekhah mtoto Wa Zari Ajibu Bofya hapa Kusoma Zaidi
Post a Comment