Kuanzia jana mwandishi wa blog mmoja aitwaye Mange Kimambi amekuwa akipost mtiririko wa post katika instagram kumhusu Zari.
Mange anasema Zulekhah
ambaye wengi humfaham kkuwa ni mdogo ake Zari,kuwa ni mtoto wa Zari ambaye Zari alimzaa akiwa na umri kati ya miaka 14-15 ambapo baada ya hapo aliendelea kusoma tena. Mange anadai kuwa alipata habari hizo kutoka kwa ndugu wa ndani kabisa wa familia ya Zari sababu Zari amekuwa akificha hilo kwa miaka sasa.
"This is not Zari's little sister. Zuleha is her daughter. Ndo mwanae wa
kwanzaa... Yeleuwiiiiiiii... Jamani ni mwanae huyuuuuu wa kumzaaaa.... .
Na Huyu Zuleha ana mtoto that means Zari is a grandmother." Moja ya post za Mange zilisomeka ivo instagram...
Zari bado hajamjibu chochote kwa Mange, Lakini Zulekhah amemjibu Mange kwa kupost picha hizi mbili wakiwa wadogo pamoja na dada zake zikiwa na caption inayosema
"who is you mama"
Inaaminika kuwa Mange ameanza kumshambulia Zari kuanzia jana baada Zari kuchoka na post za kichokozi.
Kama siku mbili hivi zilizopita Zari alikuwa na post katika account yake ya Snapchat ambayo ilihusu mwanamke aliyeachika na Mumewe,
Na post hiyo inasemekana ilikuwa inamhusu Mange aliyekuwa akiishi Marekani
(U.S.A) kwa muda kidogo akiwa na Mumewe ambae ni mzungu na wana watoto wawili.
Lakini kwa wale wasiojua ni kuwa Mange Kimambi Ni Nani....
Ndiye aliyemshawishi Wema Sepetu kushiriki Miss Tanzania mwaka2006.
Mange Kimambi |
Mange Kimambi
Ndiye aliyemshawishi Wema Sepetu kushiriki Miss Tanzania mwaka2006.
Ndo maana amekuwa akimtetea Wema kwa chochote,
Na kwa sababu wema aliwah-date na Diamond Platnumz, Mange amekuwa akishambulia wasichana wengi waliodate na Diamond.
Mange Kimambi |
Kwa hiyo ata Zari amekuwa akishambuliwa saana hata katika blogg yake na katika acc yake ya Instagram.
Hata hivyo report zinasema kuwa Wema ndiye aliyemwacha Diamond na si kweli kuwa Zari ndiye aliyeharibu uhusiano wao. Zari alikuja kwenye Maisha ya Diamond baada ya kuwa Wema ameshatengana na Diamond.
Mange Kimambi |
Hata hivyo report zinasema kuwa Wema ndiye aliyemwacha Diamond na si kweli kuwa Zari ndiye aliyeharibu uhusiano wao. Zari alikuja kwenye Maisha ya Diamond baada ya kuwa Wema ameshatengana na Diamond.
Kama ilikupita bofya hapa kuisoma zaidi na hii....>>>
Zari, Mke Wa Diamond Adaiwa kuwa na mtoto Mwenye Umri sawa Na Wa Diamond
Post a Comment