[6] [recent] [slider-top-big] [Music]
You are here: Home / #Musevenichallenge Picha zaidi ya 15 Za-trend mtandaoni, tazama Wakenya wanavyoigiliza pozi lake la kuongea na simu barabarani

#Musevenichallenge Picha zaidi ya 15 Za-trend mtandaoni, tazama Wakenya wanavyoigiliza pozi lake la kuongea na simu barabarani

| No comment
Wakenya ni mabingwa wa kutrendisha mtandaoni vitu vya ajabu ajabu



Ni wao ndio walianzisha hashtag ya #WhatMagufuliWillDo ikawa trending topic duniani miezi kadhaa iliyopita. Na sasa wamerejea tena na hii ni zamu ya rais wa Uganda, Yoweri Museveni. 

Museveni aliingia kwenye headline wiki hii baada ya picha inayomuonesha amesimamisha msafara wake, kuomba kiti na kukaa pembeni mwa barabara kuongea na simu.

Picha hii imesababisha kuzaliwa kwa hashtag #Musevenichallenge ambapo watu wanaigiliza pozi hilo. Vunja mbavu kidogo.














Kama Uliikosa Habari Hii Bofya Hapa Kuisoma