Ni vigumu kuweza kupata mtu ni handsome mwenye maisha mazuri asiye na kasoro ambaye Na hilo huwezi kupinga.
sasa ngoja tuangalie watu kadhaa ambao wao wamedhibitisha kuwa ni mashoga mbele ya jamii lakini ukiwaangalia ni wanaume mahandsome wrnye nguvu na haiba kubwa na mvuto , lakini huwezi amini kama ni mashoga
1. Jonathan Groff

maelfu ya wasichana wangependa kuwa katika mikono yako. Hata hivyo, yeye ni shoga na hivyo ni ngumu kwa mwanamke yeyote kupata nafasi hiyo sababu yeye sasa anashikwa na mwanaume mwenzake.
2. graham Norton

yeye ni shujaa na mjuzi katika silaha za wit scintillating, na uso wake hufanya wanawake wengi wamtamani sababu ya sura yake ya mcheshi.
Norton ana kila kitu. lakini ndo vile mtoto sio riziki daaah.....
3. matt bomer

Huwezi kuamini ila ameolewa na ana katika ndoa yake sna
watoto watatu, ikiwa ni pamoja na seti ya
chanzo
4. tim cook

yeye ni mtu mwenye kipaji na akili. yeye huweza hufanya hoja nzitozenye kufanya mtu ajihisi udhaifu katika mifupa.,
yeye ni mashuhuri na maarufu. yeye
ni Mkurugenzi Mtendaji wa apple, moja ya bidhaa zenye nguvu zaidi katika
ulimwengu wa technology na yeye ni Tajiri mkubwa ila ni shoga
5. Zachary Quinto

Macho yake sura na uhandasome alionao humfanya mwanamke yeyote ampende. Hata
hivyo, kwa bahati mbaya sana hii star huyu wa movie za kutisha za marrekani (american horror) mwaka 2011 alitangaza kuwa shoga. Ni kama kuwaadhibu baadhi ya wanawake kwa uhalifu wa kuwa shoga.
6. ricky martin

Kama kuna mwanamke alikuwa ana muota ricky martin aje kuwa mumewe basi hiyo ni ndoto ngumu sababu huyu jamaa ni shoga.
7. Marc Jacobs

Ni handsome mwenye six pack lakin, bahati mbaya kwa wanawake ni kuwa wamepotea kwa sababu ameitenga yote ya zawadi yake kwa ajili ya wavulana. Balaaa!
8. CHEYENNE jackson

huu mwimbaji na muigizaji na pia ni handsome kama unavyoomwona na bado ana uwezo wa kuimbia wanawake nyimbo nzuuri za mapenzi lakini ni shoga. Hili hufanya nijiulize kwa nini watu wote ubunifu na wenye vipaji hukuwa shoga?
9. Neil Patrick Harris

Naye ni shoga daaaah....
**** VITENDO KAMA HIVI NI VYA KUPIGWA VITA SAANA KATIKA JAMIII YETU*****
Asante kwa kutembelea ukurasa huu....
Post a Comment