Utanashati na uvaaji huwa rahisi saana na kukufanya uonekane mwanaume smart au mwanamke wa heshima,lakini inakuwa rahisi zaidi pindi unapokuwa unajua jinsi ya kudress up vizuri.
Lakini kama hujui vizuri au unahitaji kuongeza ujuzi jinsi ya kuonekana smart , Usijali tumekuletea baadhi ya njia za uvaaji zitakazokufanya uonekane smart na kuondoa makosa madogo madogo ambayo hufanya.

Lakini kama hujui vizuri au unahitaji kuongeza ujuzi jinsi ya kuonekana smart , Usijali tumekuletea baadhi ya njia za uvaaji zitakazokufanya uonekane smart na kuondoa makosa madogo madogo ambayo hufanya.
Hizi ni baadhi ya njia zitakazokusaidia katika uvaaji wako wa kila siku na kukufanya uonekane smart muda woote:
1. Tumia njia hii kuweka mwonekano wa shati lako vizuri, njia hii kwa kingereza inaitwa The Military Tuck.
Video hii inakuonyesha jinsi ya kuvaa vizuri shati lako:
Source: Youtube
2. Hakikisha pindo za mikono yako inafiti kwenye mabega yako vizur bila kuzidi.

Source: Igerit
3. Mara zote hakikisha unalinganisha usawa wa vifungo vya shati lako na zipu ya suruali.

Source: Realmenrealstyle
4. Kuvaa nguo ndefu na zisizo pana (zinazokufiti) hukufanya uonekane mrefu zaidi.

Source: Saree Times
5. Kama ni mwembamba, tafuta nguo ndefu na zenye urembo mwingi hizo hukufanya uonekane vizuri zaidi.

Source: Mirraw
6. Ili kufanya zipu ya suruali ako isishuke unaweza tumia ujanja huu kwa kutumia rubber band.

Source: Sweetlittlebluebird
7. Pia kuvaa nguo zinazoendana na rangi ya mwili wako hukufanya uonekane vizuri zaidi.

8. Tumia ujanja huu kufanya sidiria (bra) isishuke nje ya mabega yako.

9. Unaweza kuvaa button-up kati ya shati na sweta lako ili kuonekana ili kuboresha mwonekano wako.

10. Inategemea umevaa nguo gani ndivyo inabidi uchague mkufu wako wa shingoni (necklaces) ili kuendana na nguo yako.

11. Tumia kifundo cha mkanda ili kuongeza na kuboresha mwonekano wako.

Source: Quora
12. Mwanamke, Vaa tight ndani pindi unapokuwa unavaa jinsi za namna hii kuliko kuacha mapaja yako wazi kabsa.

13. Nguo zenye mistari ya kulala hukufanya uonekane mpana wakati nguo zenye mistari ya kusimama hukufanya uonekane mrefu.

14. Hapa ni jinsi ya kuvaa boots na suruali ambayo sio ya kubana.

Source: Quora
15. Hakikisha upana wa tai yako unaendana na upana wa kora ya koti lako la suti.

16. Mara zote fananisha (Match) rangi ya mkanda wako na rangi ya kiatu chako.

17. Unapokuwa unanunua suruali hakikisha unanunua ile ambayo inagusa mpaka viatu vyako.

18. Unapokuwa umevaa suruali za kawaida basi, match rangi ya socks zako na suruali, kama inashindikana basi match na rangi ya viatu.

Source: VK
19. Tumia njii hii kukunja shati lako ili kupunguza mikunjamano mingi katika shati lako.

Source: Advice from a twenty something
20. Sew old or cheap bra cups into a backless dress for a proper fit.

Source: Quora
21.Vaa buti zizofika usawa wa magoti yako hukufanya uonekane vizuri zaidi.

Source: Quora
22. Tumia kiraka (maker) zinazofanana na rangi ya kiatu chako ili kuficha michubuko yeyote kwenye kiatu chako.

Source: Quora
Post a Comment