[6] [recent] [slider-top-big] [Music]
You are here: Home / NEW VIDEO:Meda - Alele (Official Video)

NEW VIDEO:Meda - Alele (Official Video)

| No comment
Msanii Meda Classic baada ya kuachia wimbo ambao uliofanya vizuri na
kumtambulisha katika sanaa wimbo wa ‘Barua kwa Diamond‘, msanii huyo wa
bongo flava kutokea Iringa ambaye kwa sasa ameachia video mpya ya wimbo
unaoitwa ‘Alele‘, video ikiongozwa na Deo Abel iangalie hapa alafu toa
maoni yako.


DOWNLOAD MP4