[6] [recent] [slider-top-big] [Music]
You are here: Home / NEW VIDEO: Akothee - Yuko Moyoni [OFFICIAL WEDDING VIDEO]

NEW VIDEO: Akothee - Yuko Moyoni [OFFICIAL WEDDING VIDEO]

| No comment
Baada ya kusambaa kwa picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii
zikimuonyesha msanii wa muziki wa Kenya, Akothee akiwa ndani ya shela la
ndoa,
Jumamosi hii ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Yuko Moyoni’.
Video imeongozwa na director Godfadher kutoka Afrika Kusini.

DOWNLOAD MP4