Kila siku tunaona watu wanpata watoto wenye ulemavu mbalimbali. Lakini huwa hatukai tukafikiria sana sababu sio sisi tunaopitia matatizo kama hayo. Hatuwezi ata kukaa tukafikiria ni ni shida gani wanapata sababu ya ulemavu wao.
Leo tunaenda kushare na kuangalia story ya mssichana mwenye ulemavu kama huo ambao utaona hapa chini.
Jina la bimnti huyu anaitwa Rahma Haruna ni binti Mnigeria. Ana miaka 19 tu, na alizaliwa katika hali ya mwili isiyoruhusu miguu yake kuweza kukua. Na hii ndo sababu ya yeye kumfanya aishi katika bakuli la plastic mpaka sasa.
Ni Binti Rahma Haruna Kutoka Nigeria aliyezaliwa katika hali ya ajabu.
Sababu ya tatizo lake hata madaktari hawajui pamoja na kumfanyia utafiti ili kutatua tatizo lake. Baada ya madaktari kuona tatizo lake walishangazwa saana na wengine waliamini ni nguvu za asili (supernatul thing).
Story ake imenifanya nimheshimu saana huyu msichana.
Naamini kila mmoja wetu atakuwa amejifunza kitu kutoka na story ya dada huyu anayeishi maisha ake katika hali hiyo
ata baada ya kuzaliwa na ulemavu huu wa ajabu.
Na
ninatumaini umehisi ni maumivu kiasi gani anayapata Rahma Haruna.
Share story na rafiki zako. Pia unaweza share hisia zako kwenye Comment Box Chini hapa,
Leo tunaenda kushare na kuangalia story ya mssichana mwenye ulemavu kama huo ambao utaona hapa chini.
Jina la bimnti huyu anaitwa Rahma Haruna ni binti Mnigeria. Ana miaka 19 tu, na alizaliwa katika hali ya mwili isiyoruhusu miguu yake kuweza kukua. Na hii ndo sababu ya yeye kumfanya aishi katika bakuli la plastic mpaka sasa.
Ni Binti Rahma Haruna Kutoka Nigeria aliyezaliwa katika hali ya ajabu.
Hali hiyo ya ajabu inafanya miguu ya Rahma ishindwe kukua.
Na hii ndo sababu kubwa inayofanya binti huyu sehemu kubwa ya maisha yake katika bakuli la plastic.
Familia yake humsafirisha kutoka eneo moja mpaka jingine kwa kutumia kiti cha matairi akiwa katika bakuli la plastic.
Rahma ana mdogo wake wa kiume ambaye mara nyingi huwa nae akimpa huduma mbali mbali.
Lakini pamoja na kuzaliwa na ulemavu huo lakini bado anaonekana ni msichana mweneye furaha na mwenye tabasam muda mwingi.
Lakini ulemavu wake ndio sababu kubwa inayofanya familia ake ifanye kazi kwa bidii ili kupata pesa za kumhudumia Rahma na kumweka katika hali nzuri.

Post a Comment