Chatu mkubwa ameshinda mpambano mkali kat ake na Mamba Katika visiwa vya Queensland,
Nyoka huyo alimburuza mamba huyu mpaka nchi kavu na kisha kumla.

Tukio hilo lilitokea katika Ziwa Moondarra, Jirani na Mlima Isa, Na lilibaswa na kamera na wenyeji wa eneo hilo Jumatano hii.
Chatu huyo mwenye urefu unaokadiliwa kufikia futi 10, Chatu huyo anasadikiwa kuwa ni aina ya python.
Nyoka huyo alimburuza mamba huyu mpaka nchi kavu na kisha kumla.
Akimburuza kuelekea nchi kavu



Post a Comment