[6] [recent] [slider-top-big] [Music]
You are here: Home / Video: Nyoka Aina Ya Anaconda Apatikana Amekufa, Kilichokutwa Tumboni Kitakushangaza

Video: Nyoka Aina Ya Anaconda Apatikana Amekufa, Kilichokutwa Tumboni Kitakushangaza

| No comment

 Anaconda ni nyoka hatari saana katika dunia na uwezo wake wa kula wanyama hata waliomzidi umbile humfanya awe hatari zaidi.

 

 



Video ya Anaconda huyo aliyekufa iliyosambaa katika mitandao ya kijamii na blogs mbalimbali na kinachosangaza wengi ni juu ya sababu ya kifo chake. 

 

 

Wavuvi kadhaa walimkuta anaconda huyu mkubwa akiwa amekufa pembeni mwa mto. Walikata tumbo lake ili kuona kitu gani slikuls kabla hajafa. Kunaweza kua na sababu nyingi juu ya kufa kwake. Lakini alichokutana nacho tumboni mwake ni cha kushangaza sana. Walikutana na Nyoka wengne wakubwa ndani ya tumbo lake ambao wanahisiwa kuwa ndo sababu ya kifo chake.

 

 

Video: