[6] [recent] [slider-top-big] [Music]
You are here: Home / , Video: Justin Bieber aanguka jukwaani

Video: Justin Bieber aanguka jukwaani

| No comment

Msanii wa Pop, Justin Bieber hivi karibuni alianguka vibaya kwenye jukwaa wakati anajiandaa kufanya show.

Bieber alikuwa kwenye show yake ya Purpose kwao Canada kwenye mji wa Saskatoon na kudodondoka wakati anajitayarisha kuanza kuimba. Aliteleza mwisho wa jukwaa.