
Mtunzi: EDDAZARIA G.MSULWA
ILIPOISHIA
“Samahani kaka sijui wewe ni nani mwenzangu?”
“Unaniuliza mimi ni nani ndani ya nyumba yangu?”
Moyo
ukanipiga paaaa kama jiwe lililotua juu ya bati tena la nyumba ya
uswahilini.Nikajua jamaa anaweza akawa mume wa Madam Mery mapigo ya moyo
yakazidi kunienda mbio pale jamaa alipoanza kupiga hatua za kwenda
chumbani kwa Madam Mery kwani boxer na tisheti ya shule vyote vipo ndani
ya chumba hicho na vipo sehemu ya wazi kwa mtu yoyote anayeingia lazima
ataviona,na kingine kilichozidi kunipagawisha ni kitanda nilivyo kiacha
kimevurugika kwani kinaonyesha hivi hivi kilikuwa ni kiwanja cha mechi
za wakubwa
ENDELEA
Jamaa kabla hajafunua pazia ili aingie ndani simu yake ikaita.Akaitoa
kwenye mfuko wa suruali kisha akaipokea na kuanza kuzungumza mazungumzo
ambayo yalianza na ndio bosi.Jamaa akanitazama kisha akatoka nje
nikahisi mazungumzo yake ni muhimu sana na ya siri sana ndio maana
akatoka nje huku begi lake akilivua na kuliweka pembeni ya mlango wa
kuingilia chumbani kwa Madam Mery.
Ikawa
nafasi kwangu kuingia chumbani nikachukua kila kilicho changu huku
shuka lililo changungaka nikilitoa na kulisokomeza mvunguni mwa kitanda
na kuliacha godoro likiwa na foronya yake tu pasipo kuwa na
shuka,Nikarudi hadi sebleni na kumuona jamaa akirudi ndani kwani mlango
aliuacha wazi kidogo.Ikanibidi boxer yangu niiweke mfukoni mwa suruali
yangu huku tishet yangu nikiwa nimeishika mkononi huku nikitaka kuivaa
“Dogo unakwenda wapi?”
“Ehee”
”Hujasikia…! Unakwenda wapi?”
“Kununua vitafunio vya chai”
“Dogo mbona unajifanya mjanja sana?”
Maswali ya jamaa yakazidi kunichanganya akili na kunizidisia presha ambayo sikuelewa kama inapanda au inashuka.
“Mjanja wa nini brother?”
“Huendi kununua vitafunio ila sema ninakwenda kununua vitafunwa kwani vitafunio ni hayo meno yako”
“Sawa bro nimekuelewa”
“Ehee kwanza hujaniambia wewe ni nani? Nakuona upo upo tu humu ndani?”
“Mimi ninaitwa Eddy”
“Yuko wapi Mery?”
Nkaanza
kufikiria cha kumjibu huku maswali mengine nikijiuliza mwenyewe na
kujijibu mwenyewe ndani ya moyo wangu hadi nikapata muafaka wa nijibu
nini
“Amelazwa kwenye hospitali ya shule”
“Lini?”
“Leo asubuhi”
Lengo
la kumjibu jamaa kiufasaha kila swali analo niuliza ni ili akienda
kumuangalia Madam Mery iwe nafasi ya mimi kuondoka katika nyumba hiyo
ili nikatafute hata sehemu ya kuishi nikisubiria siku zangu za
kusimamishwa masomo ziishe
“Powa dogo vaa tisheti yako unipeleke huku alipolazwa”
Sikuwa
na ujanja zaidi ya kuivaa tisheti yangu na kumalizia kuvaa viatu vyangu
na kitu kilichozidi kuniweka mpole mbele ya jamaa ni pale alipoitoa
bastola yake na kutazama kama inarisasi za kutosha kwenye magazine yake
na kuirudisha kiunoni bastola yake huku akionekena kuridhika na risasi
zilizomo.
Safari ikaanza huku
sote tukiwa kimya ila mimi nimetangulia mbele kama hatua moja huku yeye
akifwatia kwa nyuma.Akili yangu ikawa inanituma nipige hatua za haraka
haraka na kama kuna uwezekano nikimbie kwani vichochoro vyote ninavijua
katika mji huu wa Arusha
“Dogo nasikia kuna majambazi sana wamezuka kipindi cha hivi karibuni?”
“Kusema
ukweli bro mimi mwenyewe ninasikia sikia ila sina uhakika kivile.Ila ni
juzi kuna benki pale mbele ilivamiwa na pesa zote zikaibiwa”
“Dogo subiri ninunue P.K hapa dukani si utakula?”
“Ndio”
Jamaa
akaingia kwenye moja ya duka,nikamchungulia kwenye duka hilo nikamuona
yupo bize na muuza duka.Nikaanza kupiga hatua za taratibu huku nikizuga
zuga watu waliopo katika eneo hilo wasistukie kitu chochote ili nikifika
mbali na duka hilo nianze kukimbia.Kabla sijafika mbali kidogo gafla
nikastukia nikiguswa bega kwa nyuma.Nikageuka na kukutana na muuza
mahindi
“Oya broo yule jamaa pale mjeda ameniambia nikuletee maindi uchague”
Nikatamani
nimtukane muuzaji wa watu ila nikaona hana kosa taratibu nikaanza
kuyatazama mahindi yaliyo chomekwa kwenye spoke za baiskeli zipatazo
kumi na kuunganishwa katika mti mmoja.Nikachagua muhindi laini laini
kwani sikuwa nimekula kitu cha aina yoyote tangu asubuhi.Jamaa akaja
hadi tulipo akatoa noti ya elfu kumi na kumpa muuza maindi na kumuambia
chenchi akae nayo
“Aisee kamanda wangu Mungu akubariki sana”
Muuza
maidi alizungumza kwa lafudhi ya kichaga huku akipiga saluti na
kumfanya jamaa acheke ila mimi sikuwa na hata hamu ya kuyakenua meno
yangu.Tukaendelea na safari ya kwenda katika hospitali ya shule ambayo
haikuwa mbali sana na shule kwani ilikuwa pia inatoa msaada wa
kuwahudumia wananchi wa kawaida tofauti na wanafunzi
Tukafika
hospitalini na tukakutana na Madam Rukia akiwa nje ya wodi ya
wagonjwa,nikamsalimia nikabaki nikiwatazama jinsi anavyo salimiana na
jamaa huku wakicheka kwa furaha na kuonekana wakifahamiana kwa muda
mrefu
“Huyo mwenzako anaendeleaje?”
“Kidogo joto lake limeshuka kwani asubuhi hali yake haikuwa nzuri kivile”
“Tatizo lake ni nini haswa?”
“Maleria alikutwa na vidudu sita ndio vimemlaza.”
“Sasa mbona umekaa huku nje?”
“Nilitoka mara moja kupunga punga hewa ila twende ukamuone”
Wakati
wote wanazungumza nilikuwa kimya nimetulia kama maji ya mtungini huku
moyoni nikifurahia jamaa aingie ndani na mimi niondoke .Jamaa na Madam
Rukia wakaanza kuingia ila jamaa akasimama na kuniangalia
“Oya dogo twende ukamuangalie mgonjwa”
“Huyu mwalifu umemtoa wapi?”
Madam
Rukia alimuuliza jamaa na kumfanya atabasamu ila kwangu nikazidi
kuogopa,cha kumshukuru Mungu jamaa hakulijibu swali la Madam Rukia kwani
tayari tulishafika ndani ya chumba alicholazwa Madam Mery.Jamaa akakaa
kitandani na kumkumbatia madam na wote kwa pamoja wakawa wanatokwa na
machozi ya furaha,sikujua kinacho waliza ni nini
Wakaachiana
huku jamaa akianza kumfuta Madam Mery machozi kwa kutumia kitambaa
chake na kunifanya roho yangu kuanza kuhisi maumivu ya wivu
“Lucka mdongo wangu ni wewe?”
“Ehee….!”
Nikajikuta
nikihamaki hata kabla jamaa hajamjibu Madam Mery nikamfanya Madam Rukia
kunitazama kwa jicho kali lililoashiria kunionya nifunge domo langu
“Ndio dada yangu ni mimi kwanza pole kwa kuumwa”
“Asante za huko Pakistani?”
“Dada huko kusema kweli si kwema ni kudra za mwenyezi Mungu miaka yote saba tuliyokuwepo kule ni kwa rehema za Mungu”
“Kweli hilo ni la kumshukuru Mungu mdogo wagu kwani kila siku nilikuwa nafuatilia taarifa ya habari kujua mnaendeleaje ila sikuwa ninapata majibu kamili”
“Yaani dada maisha ya kule ni bunduki mkononi wakati wote.Kuisikia milio ya risasi ni kitu cha kawaida”
“Sasa mbona walikuongezea miaka miwili ya kuishi?”
“Dada jeshini ni kufwata amri tuu huwezi kujiamulia kuwa nataka hichi hichi sitaki”
“Basi
miaka mitano ilipoisha nikawa kila mara ninakwenda makao makuu
yenu.Basi wakawa wananizingua hadi baba yake huyo kijana (Eddy ) ndio
alinisaidia katika kujua taarifa zenu kidogo matumaini ya kukuona
yakarudi upya kwani nilidhani umefariki ndio maana wakawa wanakataa
kuniweka bayana”
“Baba yake Eddy ni nani pale makao makuu?”
“Ndio mkubwa wa sasa hivi katika makao makuu yenu,Baada yule mliye muacha si aliugua kansa ya damu na kufariki”
“Ahaa
sasa Napata picha unajua nilipomkuta Eddy kule kwako sura yake nikwa
ninaifananisha na sura ya Mzee Godwin yaani hadi ongea zao zinafanana”
“Tena wamefanana sana.Eddy huyo ni mdogo wangu wa damu baba mmoja mama moja na tupo wawili tu kwetu”
Hadi
wakati huo sikuwa ninaamini kama jamaa ni mdogo wake Madam Mery mawazo
na fikra zangu zote zilipelekea mimi kujua ni mume wake na kwajinsi
alivyokuwa akini hoji hoji maswali yake yaliyokuwa yakinichanganya
“Nashukuru kukufahamu bro Lucka”
“Alafu
mzee wako alinipigia ule muda niliokuwa ninazungumza naye akaniambia
nimuandalie mazingira kwani kesho au kesho kutwa anaweza kuja
kukutembelea”
Mawazo
yakarudi upya,Tena ya safari hii yakazidi kunichanganya kabisa kwani
mziki wa mzee ninaujua mimi mwenyewe na hapa nilipo ndio kwanza nina
siku moja tangu nisimamishwe shule kwa wiki moja
“Alafu Madam Rukia uliniambia Eddy ni mualifu?”
“Tena mualifu sana mwambie mwenyewe akusimulie”
Madam Rukia kama kawaida yake ya kuwachochea wanafunzi ndivyo alivyofanya kwa Lucka.Ikanilazimu nimuhadisie mkasa mzima kuanzia wakati wa sherehe hadi waliponipa barau ya kusimamishwa wiki moja
“Huyo mwalimu aliye kuchapa fala kweli kwani mtu ni lazima kukaa hadi mwisho wa sherehe?”
Kauli ya Lucka ikamfanya Madam Rukia kunyamaza huku akionekna kutopendezwa na Lucka kunitetea mimi
“Hata mimi nashangaa yule Sir sijui anakisa gani na mimi”
“Haya
Eddy amka twende nikupeleke shuleni.Dada zangu jamani nitakuja muda si
mrefu ndoja huyu raia nikamkabidhi kwa waalimu wake
waliomsimamisha.Alafu Rukia vipi lile ombi langu la kukuoa?”
“Nilikuwa nakusubiri ni wewe tu kupeleka posa kwetu”
Wote wakacheka natukatoka nje ya hospitali na kuelekea hadi shuleni.
Moja kwa moja jamaa akanipeleka katika ofisi za mkuu wa shule hii ni baada ya kumuonyesha zilipo ofisi hiyo.Kwa bahati nzuri tukamkuta mkuu wa shule tena akiwa pamoja na mwalimu Kikole katika ofisi yake,akasalimiana nao kisha wakamkaribisha kukaa katika kiti ila kaka Lucka akasimama na kuniomba mimi nikae katika kiti hicho
Moja kwa moja jamaa akanipeleka katika ofisi za mkuu wa shule hii ni baada ya kumuonyesha zilipo ofisi hiyo.Kwa bahati nzuri tukamkuta mkuu wa shule tena akiwa pamoja na mwalimu Kikole katika ofisi yake,akasalimiana nao kisha wakamkaribisha kukaa katika kiti ila kaka Lucka akasimama na kuniomba mimi nikae katika kiti hicho
“Samahani mzazi wa Eddy hatutoweza kuizungumzia kesi ya mwanao kwani muda wake wa kutumikia adhabu yake haujapita”
Head
master alizungumza kwa sauti ya upole huku akimtazama Lucka ambaye kwa
jinsi sura yake alivyoiweka katika hali ya umakini nikahisi mkuu wa
shule pamoja na Mr Kikole waliogopa
“Sikuja kusikiliza kesi yake ila nimemleta aendelee na masomo sawa”
“Ila kijana wako ni mkorofi”
Mr Kikole alidakia na kumfanya kaka Lucka kumtazama kwa jicho la hasira
“Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa kwahiyo funga bakuli lako”
Jibu
la Kaka Lucka alilomjibu Mr Kikole likanifanya nicheke na waalimu wote
wakanitazama huku mwalimu mkuu akionekana kuto kupendezwa na jibu la
Kaka Lucka
“Nimetoka jeshini nimeacha shughuli muhimu za kufanya na sijaja kupoteza muda cha msingi ni kumrudisha dogo darasani sawa”
Head master akatingisha kichwa akionekana kukubaliana na kaka Lucka japo Mr Kikole alionekana kukasirika
“Eddy yule mwalimu aliyekuchapa ni yupi?.Nionyeshe ili niondoke naye nikamuhoji kambini?”
Moyo
wangu ukaingia furaha huku nikimtazama Mr Kikole nikamuona jinsi
anavyohaha haha huku akiwa anatamani kuondoka katika ofisi hiyo.Mr
Kikole akaanza kunikonyeza pasipo Kaka Lucka kumuona ili nisimtaje
“Bro achana naye bwana”
“Si alikuzalilisha mbele ya wanafunzi wezako ngoja na mimi nikamzalilishe kambini”
Kusema
kweli mwalimu Kikole anatetemeka hadi nikahisi kaka Lucka anaweza
kumgundua ni yeye.Nikamtazama katika suruali yake nikaona jinsi
inavyoanza kuchora ua lisilo na umbo maalumu kwani haja ndogo inaanza
kumtoka hadi nikajikuta nikimuonea huruma.Kaka Lucka akatoa simu yake na
kuiminya minya na kuiweka sikioni
“Ndio mkuu”
“Nimemfikisha
dogo hapa shule hapa nasubiri anitajie huyo mwalimu aliyemdhalilisha na
pia ningekuomba uwasiliane na mkuu wa hapa Arusha ili aniletee vijana wawili na defender moja”
Mazungungumzo ya kaka Lucka yakazidi kumchanganya Mr Kikole hadi nikashuhudia haja ndogo ikianza kuchuruzika kwenye kapeti lililopo katika ofisi ya mkuu wa shule
“Eddy nionyeshe fasta fasta niondoke naye si unajua nipo kwa muda maalumu hapa”
“Kaka hebu tufanye kama umemsaehe kwani mmmmmm”
Nilizungumza huku nikicheka na kumfanya kaka Lucka kunitazama huku akinishangaa
“Dogo unacheka ?.Alafu mbona mzee unatetemeka kiasi hicho ni wewe nini?”
Kaka Lucka alizungumza huku
akimpiga piga Mr Kikole kwenye bega lake cha kumshukuru Mungu
hakumuangalia chini kwani Mr Kikole alikuwa amekaa kwenye kiti ambacho kinatazamana
na mimi na hali yake ya hewa ilisha haribika muda mrefu.Nikamshika
mkono Kaka Lucka na kutoka naye nje ya ofisi huku nikiendelea kucheka
“Eddy mbona unacheka kiasi hicho”
“Kaka ticha mwenyewe ni yule mzee pale uliyekuwa unampiga piga bega”
“Haaa sasa mbona hukuniambia nikamnyanyua nimchangamshe damu kwa kichura chura?”
“Ohhh mwenzako pale alipo kojo nje nje”
“Amejikojolea?”
“Ndio”
“Masikini mzee wa watu,nilikuwa nawachimba biti kumbe muhusika yupo pale?”
“Ndio”
Sote
tukajikuta tunacheka ila mimi nilizidi kucheka hadi machozi yakaanza
kunimwagika.tukaagana na kaka Lucka akurudi zake hospitali kisha mimi
nikaelekea darasani.Kabla sijafika darasani kuna mwanzafunzi akaja
kuniita
“Head master anakuita”
“Yupo wapi?”
“Ofisini kwake”
Sikuwa
na wasi wasi,nikaanza kwenda ofisni kwa mkuu wa shule nikamkuta yupo
peke yake huku Mr Kikole akiwa hayupo,Nikakaa atika kiti ambacho
nilikuwa nimekalia hapo awali na kutazamana na mkuu wa shule huku miwani
yake akiiweka vizuri
“Kijana
nataka kukuambia kitu kimoja tu na ukiweke akilini na
ukishike……..Usione kuwa tumekukubalia urudi shule kabla ya muda wa adhabu yako kuisha ukadhani
tumekuogopa.Sasa ni hivi utafanya kazi ya kuchimba mashimo 15 ya taka
hadi jumamosi adhabu yako itakapokwisha na utafyeka kila eneo la shule
lenye nyasi ndefu.SAWA”
Nikamtazama
mkuu wa shule kwa macho ya dharau huku nikiwa ninajiamini na kumfanya
mkuu wa shule kuikunja sura yake huku akianza kuhema kwa
hasira.Nikajikuta ninamuuliza mkuu wa shule swali
“Mbona hukuzungumza hivyo wakati kaka yangu yupo hapa?”
Mkuu wa shule akasimama kwa hasira huku akiuvua mkanda wa suruali yake akitaka kunichapa
“Wewe ni mshenzi kweli lala chini”
Ikanibidi
kuwa mnyonge nikamuomba msamahaa mkuu wa shule hadi akanielewa na
tukakubaliana adhabu ya kuchimba mashimo ianze kesho asubuhi.Nikafika
darasani na kuwakuta wezangu wakijisomea.Wakanishangaa kuniona ninaingia
darasani
“Oya Eddy si tumetangaziwa una Sas P ya wiki moja?”
John aliniuliza huku akinipisha kwenye kiti changu ninacho kalia darasani huku yeye akihamia kwenye kiti kingine
“Kesi
imeisha juu kwa juu ila nimepewa adhabu ya kuchimba mashimo……Ehee nipe
stori vipi yule Salome umebonga(Zungumza naye) naye?”
“Yule dogo anajisikia sana kama vipi kamdai zile pesa zako ulizo mpa”
“Hebu acha masihara ndugu vipi aliniulizia?”
“Akuulizie
wewe ni nani?,Mbaya zaidi dogo nasikia anapigwa na yule jamaa aliye
cheza naye ila sasa hii dogo tunapishana kama magari mabovu NO salamu”
“Nikumbushe baadaye nikusimulie kilicho mkuta Mr Kikole”
“Huyo msen** leo pia kanichapa zamu si yake ila ana kihere here kama amenyimwa penzi na mkewe”
“Yule si kiherehere ngoja nitakuambia wewe mwenyewe utacheka hadi mbavu zikuume”
Tukaendelea
kuzungumza na John hadi muda wa kutoka darasani mchana ukafika.Kendele
ya chakula ikagongwa ikiashiria kidato cha tano wote tukachukue
chakula.Tukaelekea katika sehemu ya kuchukulia chakula na tukapanga
foleni kama walivyo panga wanafunzi wengine wa kidato chetu tulio wakuta
“Samahani ninaweza kukaa mbele yako?”
Nikageuka
na kumkuta ni Salome ndio anaye niongelesha,nikasogea kidogo akapita
mbele yangu kwa jinsi mstari wa chakula watu walivyo banana nikajikuta
karoti yangu iliyoanza kusimama ikigusa makalio ya Salome na kumfanya
ageukegeuke nyuma na kuniangalia usoni huku akitabasamu akionekana
akifurahi kwa jinsi ninayomgusagusa na koroti yangu katika makalio yake
yaliyo makubwa kiasi
******SORY MADAM******(6)
Mstari
wa chakula ukaanza kusogea taratibu kuelekea mbele huku mimi na Salome
tukiwa kimya hakuna aliyemsemesha mwenzake.Ikanibidi niukate ukimya
“Salome leo tunaweza kuonana?”
“Saa ngapi?”
“Kabla ya prepo”
“Sawa nitaangalia kama kuna uwezekeno”
“Nitashukuru sana.Ila vipi shemeji hajambo?”
“Hajazaliwa bado”
“Acha kuniongopea”
“Kweli shem wako bado hajazaliwa”
Kabla sijazungumza kitu chochote akaja kaka mkuu sehemu tuliyo simama katika mstari na kunifanya nikae kimya
“Ahaa Salome mbona umepanga mstari si ungepita mbele?”
“Naogopo yule prefect(kiongozi) anayesimamia pale mkali kama nini?”
“Twende nikupitishe wewe ni mtu mkubwa bwana hapa shule”
Jamaa
akamshika mkono Salome na kumtoa kwenye mstari na kuondoka naye kitendo
ambacho kimenikera kupita maelezo kwani kaka mkuu kanipeperushia ndege
wangu.Nikiwa najifikiria kupita na mimi mbele ili niwahi kuchukua
chakula na kumfwata Salome ili tuzungumze vizuri jamaa mmoja wa kidato
cha tano akaja sehemu niliyo simama
“Oya Eddy unaitwa na mwalimu wa nidhamu”
“Yupo wapi?”
“Ofisini kwake”
Mapigo ya moyo yakaanza kunienda mbio kwani katika waalimu ninao waogopa
katika shule hii ni mwalimu wa nidhamu ambaye anaonekana kutokuwa na
masihara na mwanafunzi wa aina yoyote.Nikampa vyombo vyangu John
anishikie huku nikianza kujichunguza kuanzia miguuni hadi kwenye shati.
Sikuwa nimevaa sare za darasani kwani tangu juzi sikwenda bwenini zilipo nguo zangu.Niaanza kuelekea katika ofisi za nidhamu.Mapigo ya moyo yakaanza kunienda mbio zaidi baada ya kuliona gari la baba aina ya Hammer wanayo tembelea wakuu wa jeshi huku dereva wake akiwa ndani ya gari hilo.Nikaenda kumsalimia dereva kutokana ninajuana naye,
Sikuwa nimevaa sare za darasani kwani tangu juzi sikwenda bwenini zilipo nguo zangu.Niaanza kuelekea katika ofisi za nidhamu.Mapigo ya moyo yakaanza kunienda mbio zaidi baada ya kuliona gari la baba aina ya Hammer wanayo tembelea wakuu wa jeshi huku dereva wake akiwa ndani ya gari hilo.Nikaenda kumsalimia dereva kutokana ninajuana naye,
“Shikamoo brother P”
“Marahaba vipi Eddy?”
“Safi vipi home munaendeleaja?”
“Tunaendelea vizuri vipi masomo?”
“Safi,vipi mzee mbona kaja fasta fasta kwema”
“Kwema yupo huko ofisini kwenu’’
Nikajaribu
kumchunguza dereva kuniambia juu ya mzee kama amekasirika au laa ili
niweze kujiandaa kwa chochote kwani mzee(baba) kurusha ngumi kwake ni
kitu cha kawaida sana.Nikaachana na dereva na kwenda ofisini.Nikamkuta
baba akiwa na Mwalimu wa nidhamu Mr Karata wakiwa wanazungumza maswala
yao huku wakicheka .Nikawasalimi kwa pamoja wakaniitikia huku sura zao
zikiwa na tabasamu
“Oohh my first born how you?”(Ooh mtoto wangu wa kwanza hujambo?)
“Am fine dady”(Nipo sawa baba)
“Why your looking so scare what’s wrong of you?”(Mbona unaonekana kuogopa,Una tatizo gani?)
“Nothing dady”(Hakuna kitu baba)
“Ok be happy my son”(Sawa kuwa na furaha mwanangu)
Nikaweka
tabasamu usoni mwangu huku nikiwa ninashangaa leo baba anafuraha na
mimi wakati katika vipindi vyote alivyokuwa akinitembelea shuleni
alikuwa kauzu hadi waalimu wakawa wanashangaa ni maisha gani ambayo
tunaishi na baba yangu na sheria nyingine ya baba akianza kuzungumza
kingereza ni lazima na mimi nimjibu kwa lugha hiyo hiyo
“Hapa nilikuwa nazungumza na mwalimu wako akinielezea kisa chako cha kuvunja fimbo ya mwalimu”
Nikakaa
kimya huku nikimtazama mwalimu wa nidhamu huku kimoyo moyo nikimlaani
ni kwanini amemuadisia baba yangu juu ya mkasa huo kwani hashindwi
kunichapa mikanda mbele yake
“Mwanangu usiwe mkorofi sawa first born”
“Sawa baba nimekuelewa”
“Mimi
nilikuja kukutembelea mara moja kwani wiki ijayo ninakwenda Iraq kwa
ajili ya kazi maalumu huko tunakutana wakuu wa majeshi wa nchi
mbalimbali nitakaa mwaka mmoja na nusu”
“Sawa na mama anarudi lini?”
“Mama yako anarudi kesho kutwa”
“Atakuja huku kunitembelea?”
“Nitamwambia
aje kukutembelea ila cha msingi hakikisha unasoma kwa juhudi matokeo
yako mwalimu hapa nimempatia Email yangu kila ripoti yako ya masomo
atakuwa ananitupia…Sasa kazana na kusoma sawa?”
“Sawa baba”
Baba
akatoa pesa na kunipa laki tano za matumizi ya kipindi chote ambacho
nitakuwepo shule.Mwalimu wa nidhamu akaomba anishikie laki nne ili
kuepuka kuibiwa,Sikuwa na ubishi nikampatia laki nne na nusu nikabakiwa
na elfu hamsi nikachanganya na pesa nyingine nilizokuwanazo.Baba akanipa
simu mbele ya mwalimu wa nidhamu japo sheria za shule haziruhusu
mwanafunzi kuwa na simu
“Sasa Eddy uwe makini na simu yako ili waalimu wengine wasiione wakakupokonya kwa mimi ninakuruhusu kuwa nayo”
Mwalimu
wa nidhamu alizungumza huku akiwa anajichekesha chekesha baada ya
kupewa laki moja na baba ila sikujua ni ya nini.Baba akaniombea ruhusa
ya kwenda na mimi nje ya shule.Baada ya kuipata ruhusa hiyo tukaondoka
shule na kwenda katika hoteli moja iliyopo karibu na shule.Tukanunua
chakula tukiwa na dereva wa baba tukaanza kula huku mara kwa mara mzee
akinihusia kusoma kwa juhudi huku akinipondeza kwa kumbishia mwalimu
“Wale
waalimu wenu wanaonekana wana tabu sana.Ila wakikuzingua kwa kosa
ambalo utaona hawakutendei haki wewe wazingue.Ila wakiniletea kesi
ambayo ni ya kijinga jinga kama umekamatwa na demu sijui umegoma kufanya
mtihani jua nikirudi nitakuvunja kiuno tumeelewana?”
“Sawa baba”
Baba
akaniomba nimpeleke katika hospitali ya shule akamuone Madam
Mery.Tukafika katika hospital ya shule tukamkuta Madam Mery akiwa na
kaka Lucka ambaye baada ya kumuona mzee akampigia saluti.Wakazungumza na
Madam Mery huku mazungumzo yao akimuhimiza anifwatile sana katika
masomo yangu huku awe anampa taarifa kwa kila kitu nitakachokuwa ninakifanya
Tukatoka
hospitalini mida ya saa moja kasoro usiku baba na dereva wakanipeleka
nyumbani kwa Madam Mery kuchukua madaftari na vitabu vyangu kisha
wakanirudisha shuleni na kuagana nao wakaondoka mimi nikaelekea zangu
bwenini.
“Oya Eddy kuna kiji message chako hapa”
“Kimetoka kwa nani?”
“Aliye nipa ameniambia nisikuambie”
Baraka akanipa kikaratasi nikakifungua na kukuta ujumbe ulio andikwa kwa mwandiko wa kike
{Naomba tuonane kabla ya prepo kwenye kordo ya madarasa ya Arts ‘S’}
Nikatambua
kuwa ni Salome kwani tulipanga tuonane katika muda kama huo.Nikajiandaa
haraka haraka na kumpa taarifa John anayeonekana kutokuamini kwa kitu
ninacho kizungumza.Tukafika katika madarasa ya Arts tukawakuta Salome na
rafiki yake wakiwa wanatusubiria.Tukasogea pembeni na Salome na
kuwaacha John akiwa amesimama na Claudia
“Salome nashukuru kwa kukubali ombi langu la kuonana na mimi hapa”
“Eddy
hauna haja ya kushukuru wakati hata mimi ninapaswa kukushukuru kwa
msaada wako wa pesa ulionipatia majuzi kwani bila wewe wala nisingeweza
kushiriki mashindano ya umiss na kushinda”
“Hakuna tabu vile ni vitu vya kawaida…..Salome na….”
Kabla sijazungumza kitu nikamuona mwalimu wa zamu akija eneo tulilo simama na ikabidi tubadilishe mada
“G.S(General study) sijaandika naomba uniadhimishe daftari lako”
Salome akafungua begi lake na kujifanya anatoa daftari la somo nililomuomba huku tukimsubiria mwalimu wa zamu apite
“Eddy nenda darasani kwenu muda wa kujisomea sasa acheni stori”
“Sawa ticha hapa nimekuja kuazima daftari la G.S”
Mwalimu akapita na kutuacha na kutuacha tumesimama na Salome.
“Salome kama hutojali njoo class kwetu mida ya saa tatu tatu”
“Powa nenda na hili daftari ili nipate kisingizio cha kuja Class kwenu”
Tukaachana na Salome kila mtu akaelekea darasani kwao
“Eddy nimempiga Sound Claudia amenikubalia”
“Wee”
“Chezea mimi,dogo ameniambia kesho tuonane”
“Haya mwaya”
“Vipi na wewe huyo miss wako amekukubalia?”
“Yule kwangu haruki mimi ndio Eddy mwengine photocopy”
“Mmmmm unaweza ukawa unajiproud bure kumbe domo zege”
“Haya mimi si domo zege utaona”
“Nitaona nini sasa?”
“Twende darasani tuachane na hizo mada”
Tukaingia
darasani na kila mmoja akakaa sehemu yake na tukaanza kusoma huku akili
yangu ikihesabu masaa ya Salome kuja darasani kwetu kuchukua daftari
alilonipa.Mida ya Saa tatu kasoro Salome akaingia darasani kwetu na
kuwafanya watu wengine kushangaa huku wengine wakimpongeza kwa ushindi
nikawa najiuliza kwani siku zote hawakumuona ili wampepongezi
Salome
akafika katika meza yangu,Nikachukua kiti ambacho hakina mtu na
kmuwekea pembeni.Salome akakaa na kumfanya John akibaki akisikitika huku
akinikonyeza
“Eddy unasoma nini?”
“Nisome wapi hapa nilipo nilikuwa ninahesabu muda wa wewe kuja”
“Acha kunichekesha Eddy unataka kuniambia saa zote hujasoma kitu hata kimoja?
“Kweli sijasoma hapa pia nashukuru kukuona hapa”
Salome
akaanza kucheka kwa sauti ya chini hapo ndipo nikapata fursa ya
kumchunguza vizuri na kukubali kimoyo moyo kwamba Salome ni mzuri kwani
kila kitu kilichokaa katika mwili wake kimekaa kwa mpangilio
“Eddy mbona unanitazama sana?”
“Salome sio siri wewe ni mzuri yaani mpaka unafanya moyo wangu unauma”
“Eddy wewe muongo”
“Kweli yaani kila nikikuangalia mwili wangu unasisimka”
“Asante ila hata wewe pia ni mzuri.”
“Mzuri wapi best”
“Wewe hujioni ila sisi tuna kuona ndio tunajua wewe ni mzuri”
“Salome kusema ukweli ninakupenda japo wewe upo na kaka mkuu”
“Hapana yule si mpenzi wangu”
“Ila ni nani yako?”
“Yule jamaa alinitongoza ila kwa muda mrefu sikumpa jibu lake”
“Mmmm haya sisi yetu macho”
“Kwa nini yenu ni macho?”
“Sisi tulio wabaya tutaishia kufaidi tu kwa mimacho yetu”
“Ila usijali mbona hata wewe unaweza kuf……”
Kabla
Salome hajamaliza kuzungumza kitu chochote gafla umeme ukakatika na
watu wakaanza kushangilia.Salome akanisogelea na kunipiga busu la haraka
la mdomoni na kunifanya mwili wangu kusisimka kwa raha
“Eddy twende zetu huku”
Salome
akanishika mkono na kuanza kutoka darasani huku kukiwa na giza totoro
ila wenye tochi zao waliombwa kuzizima na watu wenye kufanya yao na
mademu zao.Tukafika katika vyoo vya shule na kuingia katika vyoo vipya
ambavyo havijaanza kutumika.Tukaanza kunyonyana denda huku kila mmoja
akionekana kuwa na humu na mwenzake japo kuna giza ila nikajikuta
nikijiamini.Nikaipandisha sketi ya Salome juu na kumvua nguo yake ya
ndani huku na yeye akinivua suruali yangu kwa haraka
Kidole
changu kimoja nikakiingiza katika mgodi wa Salome na kuanza
kukichezesha na kumfanya Salome kuanza kutoa miguno ya raha huku naye
akijitahidi kuanza kuichua karoti yangu,Sikutaka kupoteza muda
nikaunyanyua mguu wake na kuushika na mkono mmoja kisha karoti yangu
ikazama ndani ya mgodi na kuanza kuuchimba.Salome akanza kutoa miguno
huku mara kwa mara nikimnyonya denda ili kuepuka kelele zake zisikike
nje japo vyoo hivyo vipo mbali kidogo na madarasa.Nikazidisha kasi ya
kuchimba kisima na kumfanya Salome alie kama mtoto mdogo
Gafla
tukajikuta tunakatisha zoezi baada ya kusikia mtu akifungua milango ya
vyoo vya mwanzo na hapo tulipo ni choo cha tano kutoka choo cha
kwanza.Salome akaanza kutetemeka huku akianza kuvaa nguo
zake.Nikapandisha suruali yangu haraka haraka na sote tukaanza
kuskilizia ni nani anafungua katika vyoo tulivyopo.
Tukaanza
kuuona mwanga wa tochi kwa kupitia uwazi wa mlango ukija katika choo
tulichopo huku miguu ya mtu huyo ikizidi kusogea karibu na choo
tulichopo.Tukasikia mtu huyo akigusa kitasa cha mlango wa choo tulichopo
na kuanza kukivuta
ITAENDELEA.....
Post a Comment