[6] [recent] [slider-top-big] [Music]
You are here: Home / Mama wa The Kardashians apata ajali, familia yake akiwemo Kanye wawahi eneo la tukio

Mama wa The Kardashians apata ajali, familia yake akiwemo Kanye wawahi eneo la tukio

| No comment
Kris Jenner ambaye ni mama wa familia ya The Kardashian alipata ajali ya gari karibu na nyumbani kwake huko LA.
t
Aligongana na gari nyingine aina ya Prius wakati akielekea nyumbani kwake. Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa anaweza akawa amevunjika mkono. Familia yake akiwemo Kanye West waliwahi kwenye eneo la tukio kuangalia kilichojiri. Tazama picha zaidi.
g
Support_system_Kylie_Jenner_Kanye_West_and_Khloe_Kardashian_were-a
r
h