MTIFUANO wa maneno makali umeibuka kati ya wasanii wa filamu Bongo,
Wema Sepetu na Faiza Ali chanzo kikiwa ni Faiza kuposti maneno ya
‘kumdis’ Wema kutokana na mfumo wake wa maisha ya kimapenzi.
Kutokana na maneno hayo yaliyojaa shari ndani yake, chazo chetu kilimtafuta Wema kuzungumzia posti hiyo ambapo alipopatikana alikuwa na haya ya kusema: “Yaani mimi simpendi kabisa yule binti, namuona ni mpumba** tu, ndiyo maana hata Sugu akaona si mwanamke anayefaa kuwa mkewe. Hana akili kabisa.”
Post a Comment