[6] [recent] [slider-top-big] [Music]
You are here: Home / VIDEO | Itazame Hii Diary Ya Alikiba : Episode Ya Kwanza Yupo Yeye Na R Kelly

VIDEO | Itazame Hii Diary Ya Alikiba : Episode Ya Kwanza Yupo Yeye Na R Kelly

| No comment
Alikiba ameanza kutimiza zile ahadi
zilizotolewa katika mambo yake makubwa matano kwamba mojawapo ni hili la
ROCKSTAR TELEVISION kuonyesha sehemu ya maisha yake ambapo leo wameanza
na hii alivyoingia studio na mwimbaji staa wa Marekani R.Kelly.


Matukio mbalimbali yaliyowahi kufanywa
na yanayofanywa na Alikiba yatakua yakionekana kupitia ROCKSTAR
TELEVISION kama inavyoonekana hapa chini