Giggy Money Asema hadharani kuwa ana mimba ya Idris sultan
Star huyo wa Bongo na Video Queen anayefahamika zaidi kwa jina la Gigy Money, Mapema leo amesema kupitia mitandao yake ya kijamiii, kuwa ana ujauzito wa Idris sultan.
Kama inavyofahamika Video Queen huyo anavyokuwa na ''drama'' nyingi,
Lakini haijafahamika mara moja kama ujauzito huo ni wa nani? Je, Ni kweli ujauzito ni wa Idris, au Gigy Money anatafuta KIKI..
hahaha ha endelea kutembelea blog hii naamini soon tutakuletea majibu kamili kama ni kweli au si kweli...
Enjoy Your Day...



Post a Comment