Pindi baba'ako anapokuwa Tajiri na mfanyabiashara Maarufu, Unakuwa na uhakika wa kuishi maisha ya kifahari kwa asilimia zoote. Tunafikiria kuwa watoto wa matajiri wanaweza safiri katika
private jets zao huku wakiwa na kundi kubwa la wahudumu wakiwafuata na kuwahudumia kila mara na kila sehemu, Kama babaako anakuwa na pesa nyingi kiasi hicho basi matanuzi na raha kama hizo inakuwa ndio zawadi kubwa inaweza tokea.
Lakini Mtoyo huyu wa Miaka 14 ana maisha hayo ambayo ingekuwa ni mimi au wewe sijui Ingekuwaje.
Rashed Saif Belhasa Anayefashamika zaidi kama Money
Kicks, Kijana wa Mfanyabiashara tycoon Saif Ahmed Belhasa, Ni kama anaishi ''Ndoto''. Wakati watoto wa Umri kama wake wakihangaika na maisha ya shule shule au mitaani, Mvulana huyu ana-chill na mastaa na kupiga nao picha na kurekodi Videos!
Nana rundo la sneakers katika kabati lake la viatu na YouTube channel vinaoonekana viatu hivyo ambacho chumba hicho hutumia kuchill na mastaa hao wa dunia.
Nyumbani kwake kumekuwa kama kituo cha lazima cha mastaa wote wanaotembelea Dubai ambao hupiga nao picha na kuzipost mitandaoni akiwa nao.
Akiwa na King Khan wapenzi wa movie za Kihindi wanamjua!
Na Salman Ni mwingine tena.
Jackie Chan Akiwa na furaha zaidi kupiga picha na huyu kijana!
''Money Kicks'' kama anavyofahamika akiwa na Superstar wa mpira Mess....
Cristiano Ronaldo Nae hakukosa kukutana na huyu kijana!
Lakini bado haikotosha, Neyma nae kahusika kauza sura na huyu Dogo.
Kijana
huyu alihudhuria Event ambayo Akon nae alikuwepo na alifurahia zaidi kupiga nae picha.
Paris Hiltoni nae alipose na kijana huyu.
Pindi Rashed asipokuwa na mastaa bas hutulia na chui wake katika bustani nzurii wakicheza
Yup, Hawa ndo wanyama wake.
Akiwa na August Alsina
Akiwa na Rooney
Tyga Nae Yumo
Kijana huyu ana ''Shamba'' la video ambayo yeye kai-dedicate kama ''The tour of the farm''. Check out the video here.
Na hata account ya Rashed Saif Belhasa ya Instagram Itakuacha mdomo wazi kwa picha kibao anazochill na mastaa.
MakambakoTv.com does not store any files. Everything posted is for promotional use only. Files downloaded should only be kept for 24 hours and then deleted. All music and videos are copyrights to the original owners. Please support the artists and buy their work.
Thank You For Visiting MakambakoTv.Blogspot.com
Post a Comment