[6] [recent] [slider-top-big] [Music]
You are here: Home / "Mimi ni Mwizi Kutoka Kenya".. Mwanamke Mkenyan Akamatwa Akiiba Mlimani City Aaibishwa Hadharani (VIDEO)

"Mimi ni Mwizi Kutoka Kenya".. Mwanamke Mkenyan Akamatwa Akiiba Mlimani City Aaibishwa Hadharani (VIDEO)

| No comment
Ilikuwa
ni kama movie inayoiabisha Nchi ya Kenya baada ya Mwanamke mmoja ambaye
ni raia wa nchini kenya Kukamatwa akiiba katika Jengo la Mlima City
Jijini Dar es salaam na kisha kuaibishwa Hadharani




Mwanamke huyo alikamatwa alipokuwa anataka kuiba Handbag, Na baada ya
kukamatwa akatembezwa katika mitaa ya Dar es Salaam huku akiwa na bango
lililoandikwa "Mimi ni
Mwizi Kutoka Kenya
."
Na Video Hii Imesambaa saana katika mitandao ya kijamii 



Video yenye ni hii hapa ITAZAME