Hit maker wa ‘Moyo Mashine’ Ben Pol amesema tayari ameshazungumza na
uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kufanya kolabo na staa huyo wa wimbo
‘Utanipenda’.
“Nataka kufanya kazi na Diamond na nimeshaongea nao ila mimi ndo nachelewesha hii kazi,” alisema Ben Pol.
Muimbaji huyo ambaye ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao wanafanya vizuri kimataifa, Jumapili hii atakuwa na ‘Moyo Mashine Night’ itayofanyika Maisha Masement.
Akiongea katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa hii, Ben Pol
amesema muda wowote kuanzia sasa anaweza kuingia studio na staa huyo.

Post a Comment