Diamond Platnumz, AY, Alikiba, Joh Makini na DJ D-Ommy na wengine wametajwa kuwania tuzo za Afrika Entertainment Awards, USA.
Vijana wa WCB Harmonize na Raymond nao wametajwa kuwania Best New Artist na Best New Talent (respectively).
DJ D-Ommy wa Clouds FM ni dj pekee wa Tanzania aliyetajwa kuwania kipengele cha Best DJ huku Millard Ayo akitajwa kuwania kipengele cha Best Blogger.
Ni Diamond ndiye aliyetajwa kuwania vipengele vingi zaidi vikiwemo Best
Male Single, Best Video of The Year, pamoja na People’s Choice. AY na
Alikiba wanawania kipengele kimoja cha Best Collaboration kwa nyimbo
Zigo Remix na Nagharamia.
Joh Makini anawania vipengele viwili, Best Hip hop Artist na Best Video
of the Year kwa wimbo wake Don’t Bother. Achia Body ya Ommy Dimpoz
inawania pia kipengele hicho.
Vanessa Mdee anawania tuzo ya Best Female Single kwa wimbo wake Never
Ever, Linah kipengele cha Best Female Artist, Yamoto Band – Hottest
Group.

Post a Comment