Hitmaker wa Zigo, Ambwene Yessayah aka AY ni mmoja kati ya wasanii wa
Afrika watakaotumbuiza kwenye tamasha la kumuenzi Rais wa zamani wa
Afrika Kusini, Nelson Mandela.
Tamasha hilo litafanyika Jumamosi hii jijini Johannesburg. Zaidi ya wasanii 20 watatumbuiza kwenye show hiyo kubwa.
Wasanii wengine ni pamoja na Banky W, Iyanya, Cassper Nyovest, KCEE, Waje, Patoranking, Mtee, HHP na wengine kibao.
Nelson Mandela International Day au Mandela Day ni maadhimisho ya
kila mwaka ambayo humuenzi hayati Mandela na hufanyika kila JUly 18,
siku aliyozaliwa.Siku hiyo ilianzishwa rasmi na Umoja wa Mataifa, November 2009.

Post a Comment