Error 404 - Not Found
Sorry, but you are looking for something that isn't here.
You are here:
Home
/
Technology
Wanafunzi wa nchini China na Teknolojia katika Kuibia Mitihani
Wanafunzi wa nchini China na Teknolojia katika Kuibia Mitihani
Wakati huku kwetu bado wanafunzi wanaendeleza njia za kizamani na
kubuni mpya za kuibia majibu au kufanya udanganyifu wakati wa mtihani,
wanafunzi wa nchini China ndio wanaongoza katika matumizi ya teknolojia
ya kisasa katika kufanya udanganyifu huo.
Kali zaidi imetokea hivi karibuni baada ya kugundulika ya kuwa vijana
wameendelea zaidi kiteknolojia katika kuhakikisha wanafanikiwa katika
kuibia kwa kutengeneza miwani ambayo inarekodi na kutuma picha hizo kwa
mwingine. Hii ni katika mtihani maarufu zaidi ujulikanao kwa jina la
Gaokao ambao unaweza kuufananisha na ule wa kuhitimu kidato cha sita kwa
hapa bongo. Ukaguzi wa wanafunzi kuingia eneo la kufanya mitihani
katika gaokao imebidi nao uwe wa kiteknolojia ya juu, na hivyo imekuwa
kama vile mwanafunzi anapita uwanja wa ndege.
 |
Afisa Usalama akionesha Miwani aliyokamatwa nayo mwanafunzi
Hivi kijana wa kibongo akipata vifaa hivi si atafaulu mitihani yote hapa bongo, au wewe unaonaje?
|
Post a Comment