[6] [recent] [slider-top-big] [Music]
You are here: Home / Picha: TID ajichora tattoo zenye majina ya hits za Ngwair

Picha: TID ajichora tattoo zenye majina ya hits za Ngwair

| No comment

TID anaendelea kumuenzi rafiki yake kipenzi, marehemu Albert Mangwea kwa style ya aina yake.

 

TID na  NGEWAR

 

 

Mnyama amejichora tattoo zenye majina ya hits za Ngwair.

Baadhi ya nyimbo ambazo TID ameziandika ni pamoja na She Got A Gwan, Mikasi, Dakika Moja, CNN, Ghetto Langu, Fly Away na AKA Mimi.

Wawili hao walikuwa karibu kiasi cha kuanzisha kwa pamoja label ya Radar Entertainment.