Ni mwezi kadhaa imepita toka tumempoteza Papa Wemba ambae alikuwa ameshafanya Collabo na Diamond Platnumz kutoka Tanzania.
![]() |
| Diamond ft Papa Wemba Cover |
Hizi ni taarifa njema kwa wapenzi wa muziki wa Hayati Papa Wemba na
Wapenzi wa Muziki wa Diamond Platnumz, Taarifa zilizonifikia ni kuwa
tarehe 24 mwezi huu Collabo hii itaachiwa.
Endelea kutembelea Blogg Hii, uwe wa kwanza kuipakua Hit hii.
Endelea kutembelea Blogg Hii, uwe wa kwanza kuipakua Hit hii.

Post a Comment