[6] [recent] [slider-top-big] [Music]
You are here: Home / AJALI: Gari dogo la abiria lagonga trekta kwa nyuma jijini Arusha, mmoja afariki

AJALI: Gari dogo la abiria lagonga trekta kwa nyuma jijini Arusha, mmoja afariki

| No comment

Katika Eneo la Chuo Cha Nelson Mandela Arusha, usiku wa kuamkia leo, Gari dogo la abiria(van) limeligonga trekta kwa nyuma.



Mtu mmoja amefariki na kadhaa kujeruhiwa.

 










 

 


Matrekta yasiyo na taa yanadaiwa kuwa tatizo kubwa kwa wakazi wa Arusha.